Naitwa CORONA, Nipo sikujurikana,
Mnaweza kupon? Maana mnagusana,
Mnavyosalimiana, Pia mnavyoagana,
Salamu au kuzugana? Kuaga au kudanganyana?
Ona nilivyo wabana, Dawa hazijaendana,
Jinsi mlivyo zoeana, Kwa hewa napatikana,
Mnazidi kuagana, Pia kuangaliana,
Wale waliojivuna, Pia wametulizana.
Sasa mtaepukana, Naitwa mtashirikiana,
Hamto shikiliana, Umbari mtaachana,
Mnatoka kuniona? Subiri tukikumbana,
Zidini kurundikana, Safiri bila maana.
©hustoto
H