K

MPAKA LINI?

Hivi kwa nini?
Hivi mpaka lini?
Hivi ni nani?
Hivi mbona mimi?
Ufisadi mpaka lini?
Ukora mpaka lini?
Ubakaji mpaka lini?
Ubladifakini mpaka lini?
Uonevu mpaka lini?
Ugaidi mpaka lini?
Umaskini mpaka lini?
Usagaji mpaka lini?
Ushoga mpaka lini?
Naomba niwe salama.
©kithi21