O

Najiona

Ulipo ndipo alipo kabla yakuwepo,
Alikuwa na atakuwa na kamwe hatakua,
Kwa mama Alikuwa na hakika atakuja,
Kamwe usimsikilize maana hata sihi.
Atakuja na maneno ya uzuri haja,
kamwe usithubutu kumpa yako moja,
Moja itazaa mbili na ya tatu pia yaja,
Hatatosha hakika maana yake moja,
Najiona nilipo pana nifaa na kifaa changu,
Changu mwenyewe chanitosha hakika,
Najiona wajichosha pasi na haja,
Kusoma usicho kielewa haaahaaa.
©oshua1992