Acha nimsifu kwa sauti
Maana ame nishika mkono hata nikiwepo kwenye bonde la mauti
Nilikuwa nime fungwa utumwani mwa dhambi
Hadi maisha yangu ikaanza fanana na cinéma ya mazombi
Yes ayubu kanitowa utumwani
Kaninunuwa kwa beyi ya dhamani
Kanijaza amani
watu wananiuliza unashindaje this
Mi nawajibu nina Jéhovah nis
Mungu aliye hai ambaye haja wai Kuni dai sacrifice
Ana nilinda
Ana nikinga
Ana nilisha
Kama ndege
©jaures
J